Nafasi Ya Matangazo

April 11, 2010

Watoto wa jamii ya wafugaji wanaoishi katika Kijiji cha Msoga Kata ya Lugoba, Mkoani Pwani, wakila damu mbichi ya Mbuzi mara baada ya kuchinjwa, Jamii hiyo inaimani kuwa damu hiyo ni nzuri kwa watoto kwa kuwa inaongeza damu mwilini, huku wakipingana na wataalamu wa mifugo ambao husema damu hiyo inahatarisha kupata maambukizi ya maradhi mbalimbali ikiwemo ugonjwa wa Kifua Kikuu.
Posted by MROKI On Sunday, April 11, 2010 1 comment

1 comment:

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo