Nafasi Ya Matangazo

April 23, 2010

Mjadala ukifanyiaka wakati wa mafunzo hayo maalum ya habari za uchunguzi iliyoandaliwa na
Shirika la Help Age International na kufanyika jijini Dar es Salaam kwa siku tatu.
Kila mmoja alishiriki kutoa maoni juu ya uandishi bora wa habari z uchunguzi.
Kamanda Ayoub Lioba alishusha nondo kwa wanahabari hao ubaoni.
Muda wa kujadiliana ulikuwepo wa kutosha.

Washiriki katika picha ya pamoja baada ya mafunzo.

Posted by MROKI On Friday, April 23, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo