Nafasi Ya Matangazo

April 08, 2010

Mwanamke mkazi wa Dar es Salaam ambaye hufanya biashara ya kuuza maji ya kunywa katika chupa na sigara akitembeza bishara yake hiyo jana katika foleni ya magari eneo la BP Kurasini.Shughuli kama hizi zikifanywa ipasavyo na wanawake wanaweza kujikwamua katika halingumu ya maisha inayowapelekea baadhi yao kufanya biashara zikiukazo sheria na utu wa binadamu.
Posted by MROKI On Thursday, April 08, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo