Nafasi Ya Matangazo

April 08, 2010

Mwenyekiti wa Chama cha DP Mchungaji Christopha Mtikila (kushoto) akijadili jambo na mawakakili wanao mtetea, Richard Rweyongeza (kulia) na Mpale Mpoki katika kesi ya Kutaka kuwapo kwa Mgombea Binafsi wakati wa mapumziko ambapo Jopo la Maji ilipokuwa ikijadili kesi hiyo pamoja na marafiki wa Mahakama leo Mahakama Kuu ya Tanzania kabla ya kutolewa maamuzi na Mahakam ya Rufani.Joram Kinanda ambaye aliwahi kutangaza kuwania Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Mgombea binafsi akitoka Mahakama Kuu leo mjadala wa Rufaa ya Haukumu hiyo ulipokuwa ukijadiliwa.
Posted by MROKI On Thursday, April 08, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo