
Mwenyekiti wa sasa wa Klabu ya Simba ya Dar es Salaam ambayo inamaskani yake Mtaa wa Msimbazi Hassan Dalali( mwenye mpira) leo mchana alitinga klabuni hapo kuchukua fomu ya kuwania nafasi hiyo tena akisindikizwa na umati mkubwa wa washabiki na wapenzi wa timu hiyo.

Baadhi ya watu waliomsindikiza Dalali wakicheza katika mtaa wa Msimbazi.

Ngoma na matarumbeta yalikuwepo kumsindikiza kiongozi huyo. Tayari nafasi Ismail Aden Rage, Michael Wambura nao wamesha chukua fomu hizo kuwanania nafasi ya Uenyekiti.
.....Inaonekana wakazi wengi wa jiji la Dar hawana shughuli za kufanya...Watu wote hawa wamekusanyika kumshangaa mtu mmoja akienda kuchukua fomu!.....
ReplyDelete