
Leo nilipata wasaa wa kuonana na watu ambao pia niliwahi kuifanya kazi yao ya kuchora ramani za watu...KATUNI, miaka hiyo lakini Kamera nikaona inafaa zaidi.

Hapa nikiwaoneshapicha King Kinya (kushoto), Baba Tau na Fadhili Mohamed picha niliyowapiga. Hii ilikuwa nje ya Ukumbi wa baraza la Maskofu leo tulipomaliza semina ya wachora katuni na wapigapicha.
0 comments:
Post a Comment