
Baadhi ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wakikabidhi Thumni kwa Ofisa Uhusiano wa Tigo, Jackson Mmbando ambapo kila aliyekabidhi thumni moja alipewa zawadi ya vocha ya muda wa mawasiliano wa sh 10,000 wakati wa uzinduzi wa Tigo Thumni katika tamasha la Pasaka Beach Part lililofanyika Coco Dar es Salaam juzi.

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Faridi Kubanda ‘Fid Q’ (kulia) akitumbuiza katika uzinduzi wa Tigo Thumni katika tamasha la Pasaka Beach Part lililofanyika Coco Dar es Salaam juzi.

MtaalamJoe Makini naye alikuwapo hapa akikonga nyoyo za watu waliofurika katika uzinduzi wa Tigo Thumni.

Msanii wa muziki wa bongo flava Mheshimiwa Temba akiwapagaisha mashabiki.

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Faridi Kubanda ‘Fid Q’ akitumbuiza katika uzinduzi wa Tigo Thumni katika tamasha la Pasaka Beach Part lililofanyika Coco Dar es Salaam juzi.

Sehemu ya umati wa watu waliohudhuria uzinduzi wa Tigo Thumni katika tamasha la Pasaka Beach Part lililofanyika Coco Dar es Salaam juzi.
0 comments:
Post a Comment