
Hii ni barabara ya Ukonga Mombasa kuelekea Mazizini, Moshi Bar na Kwa Mkolemba jijini Dar es Salaam na Mbunge wa huku ni Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana Mheshimiwa Dokta Milton Makongoro Mahanga. Kama kiwango cha lami hakiwezekani lakini hata ukarabati nao unashindikana au kuna utawala binafsi huku.
kaka mimi mkazi wa uko lakini hamna jipya huyo ni mkurya hana utu hana aibu labda kwa wenzeke kitunda na sio mombasa hata danganya toto, pamoja na jerry wote ni wabnasi
ReplyDeleteNakubaliana na blogger aliye comment hapo juu.. Mh. Mahanga hajafanya lolote katika jimbo la Ukonga. Huku maeneo ya kiwalani hsa kiwalani minazi mirefu barabara mbovu, na miundo mbinu mingine iko ovyo.. wala hajawahi hata kufika kuongea na wananchi.. ila wakati wa uchaguzi atapita kuomba kura.. hana hata aibu.. safari hii wananchi wakimpa tena kura basi watakuwa wendawazimu..
ReplyDelete