
Frank Andoye au YESU akiwa msalaban.

Giza nene lilitanda wakati Yesu anakata roho msalabani.

Yesu aliposikia kiu na kuomba maji alipewa sifongo.Hakika ni mateso aliyoyapata kwaajili yetu wanadamu.

Frank Andoye a.k.a Yesu akihangaika na msalaba wake..

Waigizaji wakimcharaza Yesu viboko wakati wa igizo la mateso ya Yesu

Misumari ikiwa mkononi imeingia kisawasawa.

Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowasa na Mbunge wa Monduli akiwa katika Misa ya Ijumaa Kuu KKKT Azania Front Dar es Salaam leo.

Edward Lowasa akifuatilia mistari mitakatifu wakati wa ibada hiyo.


Waumini wakitoa sadaka ya Misa ya Ijumaa Kuu KKKT Azania Front.


Waumini wakiwa katika Misa ya Ijumaa Kuu Kanisa Katoliki St Joseph Dar es Salaam.
We Mroki we kama hujui Bibilia vizuri tuulize sisi.
ReplyDeleteYesu aliposikia kiu hakupewa sifongo kama ulivyosema hapo juu bali alipewa SIFONGO ILIYOCHOVYWA KWENYE SIKI. Kwa hiyo bezikali alipewa SIKI, hiyo sifongo ilitumika tu kuchovyea hiyo siki.
Sifongo ni SPONJI