Nafasi Ya Matangazo

April 02, 2010

Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo akijaribu mmoja ya baiskeli alizokabidhiwa hivi karibuni na Rais Kikwete kwa ajili ya kuwasaidia waathirika wa mafuriko wa Kilosa. Baiskeli hizo na misaada mingine ilitolewa na Serikali ya China hivi karibuni na kupokelewa na Rais Jayaka Kikwete.
Posted by MROKI On Friday, April 02, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo