Nafasi Ya Matangazo

April 21, 2010

KESI ya kushambulia na kuharibu mali iliyokuwa inamkabili Miss Tanzania, Miriam Gerard, pamoja na rafiki yake imefutwa na wawili hao pamoja na mtu wanae shitakiana nae sasa watamalizana nje ya mahakama.
Uamuzi huo umefikiwa leo katika Mahakama ya Kinondoni ambako kesi hiyo ilifikishwa mwezi Februari.
Posted by MROKI On Wednesday, April 21, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo