Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakiangalia jengo la PPF House lililopo makutano ya barabara ya Morogoro na Samora ambalo kulidaiwa kuwa na moto katika gorofa ya 5 ya jengo hilo muda si mrefu.
Wafanyakazi wa ofisi mbalimbali walikubwa na taharuki na kukimbia nje.
Waliopewa makoti ya uokoaji walikuwepo.
Magari ya zimamoto ya jiji nalo liliingia. Mashuhuda walijaribu kudadizi ukweli Wanahabari wa BBC walitoka nje lakini walishindwa kufanya kazi zana zilibaki ndani. Zimamoto wakikimbia kuwahi tukio.
pole zao naona Ngayoma anawaza habari yake ya kurusha dira ya dunia leo jioni kama ipo salama
ReplyDelete