Nafasi Ya Matangazo

April 21, 2010



Wanafunzi wa Shule ya Msingi Msasani Dar es Salaam wakirejea nyumbani kutokea shule huku wakitembea peku na mwingine kifua wazi na kupita katika madimbwi ya maji taka eneo la Msasani Bonde la Mpunga. Wzazi na walezi tuwaelimishe watoto wetu juu ya umuhimu wa kuvaa viatu. Wanafunzi wa wakicheza katika maji machafu Makumbusho.
Posted by MROKI On Wednesday, April 21, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo