Nafasi Ya Matangazo

March 26, 2010


Meneja Ugavi wa Vodacom, Regina Magani (kulia) akikabidhi meza ya chakula kwa Ofisa Ustawi wa Jamii, Farida Shemweta kwa ajili ya kuisaidia kituo cha Kurasini Makao ya Watoto wenye shida jijini Dar es Salaam jana. Msaada huo ulitolewa na wafanyakazi wa kitengo cha fedha cha kampuni hiyo.
Posted by MROKI On Friday, March 26, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo