
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua jengo la kumbukumbu ya Jaji Mkuu wa Kwanza Mzalendo, Hayati Augustine Said kwenye mahakama ya Rufani jijini Dar es salaam March 5, 2010. Wapili kulia ni Jaji Mkuu, Augustine Ramadhan, kulia ni Jaji Kiongozi , Fakihi Jundu.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikata utepe kuzidua jengo la kumbukumbu ya Jaji Mkuu wa Kwanza Mzalendo, Hayati Augustine Said kwenye mahakama ya Rufani jijini Dar es salaam March 5, 2010. Wapili kushoto ni Jaji Mkuu, Augustine Ramadhan, kushoto ni Jaji

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Jaji Mkuu wa Tanzania Augustine Ramadhan (kushoto) kabla ya kuzidua jengo la kumbukumbu ya Jaji Mkuu wa Kwanza Mzalendo, Hayati Augustine Said kwenye mahakama ya Rufani jijini Dar es salaam.
Kiongozi , Fakihi Jundu.
0 comments:
Post a Comment