Nafasi Ya Matangazo

March 05, 2010

Marehemu Zainabu Mgonja enzi za uhai wake.
Shekhe Mzee Pwagu aliongoza dua ya kumuombea marehemu kabla ya kusafirisha maiti kwenda nyumbani kwao Gonja Wilayani Same Mkoani Kilimanjaro.
Wifi wa marehemu Mwalimu. Stelah Kaluse akiwa msibani na waombolezaji.
Mkuu wa Wilaya ya Makete ambaye ni dada wa marehemu Hawa Ng'umbi (katikati) akijadiliana jambo na ndugu wengine.
Waombolejazi msibani.
Menyu ni jambo la muhimu na pichani waombolezaji wakijirekebishia.Waombolezaji wakijadiliana jambo nyumbani kwa Marehemu Kigogo Dar es Salaam.
Baba wa nmarehemu Mzee Stiven Mgonja akifarijiwa na waombolezaji.Ilikuwa ni majonzi kwa kila mtu msibani hapo.
Mdogo wa marehemu akiteta jambo na mmoja wa mashemeji zake Mzee Ng'umbi.Blu ya watu inatoa pole kwa wote waliofikwa na msiba huu.
Posted by MROKI On Friday, March 05, 2010 1 comment

1 comment:

  1. Poleni wafiwa. Nawakumbuka hawa ndugu wa marehemu, mama Ng'mbi na huyo mdogo wake hapo chini nafikiri jina lake ni Zena. nilifanya nao kazi TPCD mpaka nilipoacha kazi mwaka 89.

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo