
Rapa wa bendi mpya ya Mashujaa 'Mirinda Nyeusi' akiwapagaisha washabiki wa bendi hiyo katika onyesho lililofanyika katika Ukumbi wa Mashujaa Pub jijini Dar es Salaam juzi usiku.
Wanenguaji wa bendi mpya ya Mashujaa wakifanya mambo wakati bendi hiyo ilipotumbuiza Ukumbi wa Mashujaa Pub jijini Dar es Salaam juzi usiku.






0 comments:
Post a Comment