Nafasi Ya Matangazo

March 05, 2010

Wakati taifa linaelekea kuadhimisha siku ya wanawake Dunani Machi 8 2010 bado wanawake wamekuwa mstari wa mbele katika kujifanyia kazi za kujiongezea kipato.

Pichani ni mwanamke mjasiriamali akisafiri kwa guta kupeleka bidahaa zake katika eneo lake la biashara.
Posted by MROKI On Friday, March 05, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo