Msanii wa Muziki wa kizazi kipya nchini Ambwene Yesaya maarufu A.Y (pichani) atakuwa ni miongoni mwa wasanii watakao wania tuzo ya mwanamuziki bora wa kiume Afrika Mashariki.Tuzo hizo za Chaguo la Teneeze zinandaliwa nchini Kenya na wasanii kibao kushirikisha wasanii wengi wa Afrika Mashariki kushiri. na kutoka tanzania mbali na AY ni Marima Lawrence "Marlaw", Blue 3 wa Uganda na Weasel and Radio wa Kenya.
A.Y aliwahi kutangazwa tena kuwania Tuzo nchini Kenya mwaka jana.






0 comments:
Post a Comment