
Wanafunzi wa shule ya msingi jijini Dar es Salaam wakiongozana kurejea nyumbani jana mchana huku wakivutana kwa kutumia boksi maalum la kufungia majora ya vitambaa wakati wakipita katika mitaa ya Kariakoo Dar es Salaam jana. Michezo yetu zamani hii, wataalam wa saikolojia wanasema usipofanya hivi katika umri huu kunahatari ya ukiwa mkubwa kufanya hivyo.
ni mchezo tu walivyopitisha bomba lao sehemu hatari?
ReplyDelete