
Wananchi wa mji wa Orkesmet wilayani Simanjiro wakiwa katika maandamano ya kumpokea Mbunge wao Chiristopher ole Sendeka (katikati) mara baada ya Mbunge huyo kuwasili jimboni kwake baada kufutiwa mashitaka ya kumshambulia Mwenyekiti wa UV-CCM mkoa wa Arusha James Millya wiki iliyopita.Mbunge huyo alipokewa kishujaa juzi na wananchi wa hao kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara.
0 comments:
Post a Comment