Nafasi Ya Matangazo

March 23, 2010

Mama Salma Kikwete akiwasalimia wananchi wa Arumeru nje ya jengo la mkuu wa wilaya ya Arumeru huko Usa river mkoani Arusha.Mama Salma Kikwete akiangalia ngoma ya kabila la wamasai wanaoishi katika kijiji cha Engarenanyuki kilichoko katika wilaya ya Arumeru leo.
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake wa Maendeleo(WAMA) Mama Salma Kikwete akimkabidhi vifaa vya Hospitali, Mganga Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Dr.Azizi Msuya, kwa ajili ya kituo cha afya cha Engarenanyuki. Makabidhiano hayo yalifanyika jana.
Mama Salma Kikwete akiwahutubia wananchi wa kiji cha Engarenanyuki.
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake wa Maendeleo(WAMA) Mama Salma Kikwete akiongea na viongozi wa Mkoa na Wilaya ya Arumeru katika ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Arumeru- Usa River leo.
Posted by MROKI On Tuesday, March 23, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo