Nafasi Ya Matangazo

March 23, 2010

Kikosi cha Timu ya Mabibo veterani.Wachezaji wa Fitness Veterani, wakiwa hoi baada ya kunyukwa 1-0 na Mabibo wakati wa Bonanza la Mashujaa katika viwanja vya magereza.
KIKOSI CHA MASHUJAA VETERANI.
Kikosi cha Kipunguni Veterani.
Kikosi cha Fitness katika picha ya pamoja.
RATIBA YA JUMAPILI HII TIMU ZITAKAZO SHIRIKI NI:-
Sayari Woman,Segera Veterani, Kipunguni Veterani, Mtoni Veterani, Wizara ya Afya, Mabibo Veterani na Staki Shari Veterani.

Bonanza linaletwa kwenu na Mashujaa Investment & Mamaa Sakina Trans.

Burudani kabambe itatolewa na Mashujaa Musica Band.
Posted by MROKI On Tuesday, March 23, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo