Maisha hubadilika... zamani kazi za Ulinzi zilikuwa zikifanywa zaidi na Kabila la Wamakonde lakini siku hizi nafasi hiyo imechukuliwa na Wamasai ambapo wanaume wakiwa wanalinda usiku na mchana kufanya kazi ya kusuka wanawake nywele, wanawake wa jamii hiyo wamekuwa wakijihusisha na shughuli ya uuzaji madawa na shanga kama hawa pichani wanavyoonekana waliokutwa Ilala Boma Dar es Salaam.
March 04, 2010

Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment