Nafasi Ya Matangazo

March 04, 2010

Manipaa za jiji la Dar es Salaam ziliwahi kupiga marufuku mabango ya namna hii ili kuweka jiji safi. tena yaliyona ujumbe wa namna hii jamii iliambiwa kuwa hayataruhusiwa. Wahusika mpo wapi kuhakikisha hayapo mtaani.
Posted by MROKI On Thursday, March 04, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo