Nafasi Ya Matangazo

February 26, 2010

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwasalimia wananchi baada ya kufungua jengo la mabara katika shule ya sekondari ya Kazaroho wilayani Urambo akiwa katika ziara ya mkoa wa Tabora, Februari 26, 2010.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Kazaroho wilayani Urambo baada ya kufungua jengo la maabara la shule hiyo akiwa katika ziara ya mkoa wa Tabora.
Waziri Mkuu na mkewe Tunu (kushoto )wakikagua shmba la mahindi la Dickson Obana (wapili kulia) wa kijiji cha Kasungu wilayani Urambo wakiwa katika ziara ya mkoa wa Tabora
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi Mtendaji wa Kata ya Urambo Mjini, Stella Riwa Pikpiki ili aweze kufanya kazi yake vizuri, kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara mjini Urambo akiwa katika ziara ya mkoa wa Tabora, Februari 26, 2010. Kuahoto ni mkewe Tunu na watatu kushoto ni Spika wa Bunge na Mbunge wa Urambo, Samwel Sitta.
Wasanii wa kikunid cha ngoma ya kisukuma ya Bugobogobo kutoka kijiji cha Muungano wilayani Urambo, wakitoka uwanjani baada ya kutumbuiza katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkkuu, Mizengo Pinda Mjini Urambo.
Posted by MROKI On Friday, February 26, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo