Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Bi.Daisy Mwakawago mjane wa Marehemu Balozi Daudi Mwakawago aliyefariki dunia juzi jijini Dar es Salaam.Marehemu anatarajiwa kuzikwa kesho jijini Dar es Salaam.Rais alikwenda nyumbani kwa marehemu kuifariji familia yake.Marehemu ameacha mjane na watoto watatu Lulu Mwakawago,Kie Mwakawago na Mtage Mwakawago
February 26, 2010

Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment