Balozi wa Ufaransa nchini Jacques de Labriolle (kushoto) akizungumza na Katibu Mkuu wa Chama cha Msalaba Mwekundu Tanzania, Alhaji Adam Kimbisa baada ya Ubalozi huo kukabidhi vifaa vyenye thamani ya shilingi Milioni 100 kwaajili ya waathirika wa mafuriko Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro. Makabidhiano hayo yalifanyika leo Dar es salaam kamao makuu ya Msalaba Mwekundu Tanzania.
February 17, 2010

Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment