
Mwenyekiti wa Bodi ya benki ya KBC na mbunge wa kuteuliwa Janet Mbene(kushoto)akimkabidhi Mganga Mkuu wa kituo cha Afya Buguruni Mwajuma Mbaga baadhi ya vifaa vya maabara.

Mkuu wa Masoko wa Benki ya KCB Christina Manyenye,(kulia) akiwa amemshika mtoto Abdurahaman Salumu,miezi(7),wakati maofisa wa Benki hiyo walipokwenda kutoa msaada wa vifaa vya kupimia magonjwa mbalimbali Utra sound printer,dottla machine na oxygen concentrator vifaa hivyo vina thamani ya Sh Milioni 4.3 katika kituo cha Afya cha Buguruni jijini Dar es Salaam,Kushoto mama wa mtoto Shamira Salumu.
0 comments:
Post a Comment