
Bibi Anna Masawe Mkazi wa Moshi Mkoani Kilimnajro akionekana mwenye mawazo wakati akipita katika jengo la Vodashop mjini Moshi jana.

Bibi akipita jirani na mifuko ya unha na sukari. Wazee kama hawa wanatakiwa kutunzwa na kupata malezi ya hali ya juu.
Inatia uchungu sana kuwaona wazee wakiteseka kwa taabu ambazo zingeweza kutatuliwa katika jamii. Inatia uchungu sana.
ReplyDeleteAsante kwa picha hizi, zimenisababisha niombe dua kwa ajili ya wazee. Mungu awape rehema! Nitawasaidia kila ninapokutana nao na kwa kadiri ninayoweza kwa kile alichonijalia Manani.