
Mwanariadha wa siku nyingi Naali akizungumzia mashindano ya Kilimarathon yatakayo fanyika kesho mjini Moshi.

Mmoja ya wadhamini DT Dobie wakipozi kwa picha mbele ya kipanda chao uwana wa Ushirika mjini Moshi.

Maandalizi ni magumu na yanachosha, watumishi wa Vodacom wakiongozwa na Rukia Mtingwa (klulia) wakiwa wamepumzika baada ya pilika pilika za maandalizi leo mchana. Maelfu kukimbia mbio za Kilometa 5 za Vodacom Fun Run 2010 ambazo ni moja ya mashindano ya Kilimnajro Marathon.

Watu mbalimbali wakijiandikisha kwaajili ya kukimbia mbio za Kilimanjaro Marathon na zile za Vodacom 5km Fun Run zitakzo fanyika mjini Moshi kesho.
0 comments:
Post a Comment