Nafasi Ya Matangazo

February 12, 2010

Mbunge wa Kuteuliwa, Janet Zebedayo Mbene akiapa Bungeni Mjini Dodoma
Mbunge wa Kuteuliwa, Ismail Jussa Ladhu, akiapa Bungeni Mjini Dodoma.
Mbunge wa Kuteuliwa, Janet Zebedayo Mbene , akipokea kitabu cha kanuni za Bunge na Katiba kutoka kwa Spika wa Bunge , Samuel Sitta, Bungeni Mjini DodomaMbunge wa Kuteuliwa, Ismail Jussa Ladhu , akipokea kitabu cha kanuni za Bunge na Katiba kutoka kwa Spika wa Bunge , Samuel Sitta, Bungeni Mjini leo.
Posted by MROKI On Friday, February 12, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo