Nafasi Ya Matangazo

February 20, 2010

Comredi Reginald Mhango wakati wa uhai wake.
Waombolezaji wakisaidiana kulibeba sanduku lilihifadhia mwili wa marehemu Mhango kuliingiza ndani ya nyumba yake leo kabla ya misa na baadae masishi ya Mgongwe wa habari Reginald Mhango.
Mtoto wa Marehemu akiwa amebeba msalaba wa babayake.
Waombolezaji wanahabari wakiwa Msibani Mgomone Mikumi leo.
Kila mmoja alikuwa na majonzi juu ya Kifo cha Mhango.
Waombolezaji msibani hapo.Rais Mstaafu Benjamini Mkapa ambaye nae ni miongoni mwa Waandishi wa habari waliofanyakazi pamoja na Marehumu akitoa pole baada ya mazishi makaburi ya kinondoni kwa wafiwa.
Posted by MROKI On Saturday, February 20, 2010 1 comment

1 comment:

  1. Mroki najua tutamkumbuka kwa mengi sana pale The Guardian! Hakuwa na majivuno wala nini kwa kweli ni kazi ya Mungu kwani haina makosa.

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo