Nafasi Ya Matangazo

February 19, 2010

Wakazi wa Kinondoni Mkwajuni Dar es Salaam wakiwa wamefurika karibu na eneo ambalo Maiti ya mtu ambaye ni mwanaume asiyejjulikana imekutwa katika kichaka karibu na mfereji wa maji taka. Mtu huyo ambaye inaonesha kuwa amekufa kutokana na kipigo na mwili wake ukiwa umeshaanza kuharibika uligunduliwa na wapita njia kutokana na harufu kali iliyokuwa ikitoka katika eneo hilo.
Posted by MROKI On Friday, February 19, 2010 1 comment

1 comment:

  1. Bongo watu wanakufa kwa Njaa, Malaria na Ukimwi na haitoshi bado wanauana hovyo kama kuku bila sababu, Kitu cha kushangaza binadamu kumuua binadamu mwenzangu bila sababu hii ukosefu wa dini, Ni aibu kubwa sana wa TZ kusoma na kuona katika magazeti kuuwana kwa ajili ya vijisenti.

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo