Nafasi Ya Matangazo

February 18, 2010

Baadhi ya waumini wa Kanisa la Full Gospel Fellowship lililopo Mwenge Dar es Salaam wakiwa wamesimama uwanjani wakiendelea kulinda ili watumishi wa Tanesco wanaotaka kupitisha umeme katika eneo hilo wasitimize adhma yao ambapo jana waliwafukuza wafanyakazi hao hadi Polisi kuingilia kati.
Kiongozi wa Kanisa la Full Gospel Fellowship, Askofu, Zakari kakobe akifafanua jambo kwa waandishi wa habari kanisani hapo jana baada ya kuwatimua mafundi wa Tanesco waliokuwa wapitishe nguzo kanisani hapo. Watumishi wa watatu wakampuni inayopitisha nguzo za umeme za tanesco leo wamejeruhiwa na walinzi hao wa kakobe.
Posted by MROKI On Thursday, February 18, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo