Nafasi Ya Matangazo

February 14, 2010

Rais Jakaya Kikwete akisalimina na Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa Mwambao Afrika Mashariki na Kati, Bi Kidude kutoka Zanzibar wakati wa uzinduzi wa tamasha la ZINDUKA dhidi ya ugonjwa wa malaria nchini. Kutoka kushoto ni Msanii wa Nyimbo za injili, Flora Mbasha, Mama Salma Kikwete, Bi Kidude na rais Jakaya Kikwete.
Posted by MROKI On Sunday, February 14, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo