
Rais Jakaya Kikwete akipokewa na Mwenyeji wake Mfalme Abdullah II bin Al Hussein wa Jordan alipowasili kwa ziara yake ya kiserikali mjini Jornad jana.

Rais Jakaya Kikwete akiwa katika mazungumzo ya faragha na mwenyeji wake Mfalme Abdullah II bin Al Hussein wa Jordan jana.

Rais Jakaya Kikwwete na mwenyeji wake Mfalme Abdullah II bin Al Hussein wa Jordan wakipokea salamu ya heshima wakati wa mapokezi alipowasili kwa ziara maalum ya kiserikali.

Rais Jakaya Kikwete akifuatana na mwenyeji wake Mfalme Abdullah II bin Al Hussein wa Jordan baada ya kukagua gwaride la heshima aliloandaliwa Rais Kikwete wakati wa mapokezi jijini Amman Jordan.
0 comments:
Post a Comment