Nafasi Ya Matangazo

January 06, 2010

Utoto ndo huu... hii stage ni muhimu na nzuri sana binafsi imenikumbusha mbali kidogo wakati tunatengenmeza magari ya mabua na mabati. Big up sana watoto wa Tabata. Kwa Dar es Salaaam na ni nadra kukuta watoto wakiendesha magari walioyatengeneza wenyewe. Wale wa mageti ndo kabisa hawana muda wa hata kuendesha zaidi ya kushinda wakicheza gemu katika kompyuta zao.
Posted by MROKI On Wednesday, January 06, 2010 1 comment

1 comment:

  1. Ubunifu tuliokuwa nao sisi tulikuwa watoto enzi hizo, vijana wa siku hawa.
    Kutengeneza magari ya box, wire, mabua n.k.
    Watoto wetu wanakuwa katika mazingira tofauti na sisi.
    Hongera kwa ku-capture tukio muhimu kama hili.
    Mdau
    Faustine

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo