
Rais Jakaya Kikwete akiwahutubia mabalozi wa nchi mbalimbali wanaoziwakilisha nchi zao hapa Tanzania na viongozi wa mashirika mbalimbali ya kimataifa,wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini wakati wa hafla aliyowafanyia viongozi hao Ikulu jijini Dar es salaam leo.

Kiongozi wa mabalozi wa nchi za nje hapa nchini Mheshimiwa Juma Mpango,ambaye ni balozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo akitoa hotuba kwa niaba ya mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa Tanzania wakati wa hafla.

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Kiongozi wa Mabalozi Mheshimiwa Juma Mpango mara baada ya viongozi hao kutoa hotuba zao 5437 Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa Tanzania

Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Balozi wa Marekani hapa nchini Mheshimiwa Alfonso Lenhardt wakati wa hafla aliyoandaa rais Kikwete kwa Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa Tanzania

Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi maofisa ubalozi.
0 comments:
Post a Comment