Nafasi Ya Matangazo

January 12, 2010

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk Amani Abeid Karume akikagua gwaride la heshima la kilele cha maadhimisho ya mika 46 ya Mapinduzi leo katika uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba.
Wananchi wakiwa wamebeba picha ya Kiongozi wa Mapinduzi Sheikhe Abeid Aman Karume.
Kuashiria Zanzibar sasa ni moja na hakuna tofauti za kisiasa kama ilivyo kuwa hapo awali baina ya CCM na CUF, wafuasi na wanachama wa CUF walishiriki maadhimisho hayo kwa ukamilifu.
Wana CUF na CCM wakiandama katika kilele cha miaka 46 ya Mapinduzi.
Posted by MROKI On Tuesday, January 12, 2010 1 comment

1 comment:

  1. kwa hakika ni mwanza mzuri, na hivi ndivyo siasa inavyotaliwa kuwa, watu watafuatiane katika idea and idology kwa nguvu ya hoja na wala sio kupigana na kutukanana, maana hio tofauti ya mawazo lengo lake ni moja tu kwa ujumla wale ambayo ni kuleta MAENDELEO!
    HONGERA ZANZIBAR, HONGERA KARUME + MAALIM SEIF

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo