
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Mkurugezni Mtendaji wa Kituo cha Kimataifa cha biashara (WTO) Pascal Lammy walipokutana mjini Davos katika mkutano wa Kimataifa wa uchumi duniani juzi.

Rais jakaya Kikwete akizungumza na WQaziri Mkuu wa Vietnam Nguyen Tan Dung(katikati) na Mwenyekiti wa Kituo cha Televisheni cha New Delhi Roy Prannoy wakati wa mkutano wa kuangalia hali ya Chakula duniani mjini Davos.
0 comments:
Post a Comment