Nafasi Ya Matangazo

January 13, 2010

Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Mandela Mkoani Morogoro, Stephen Mapunda (wa pili kulia), akikabidhi baadhi ya nguo kwa Kaimu Katibu Tawala wa Wilaya ya Kilosa, Prisca Shewali (wa pili kushoto), ikiwa ni sehemu ya msaada wa viroba 300 vya unga wa mahindi, maharagwe gunia 40, mchele viroba 60, ndoo 20 za mafuta ya kupikia, sabuni katoni 40 na nguo za aina mbalimbali vyenye thamani ya milioni 15.6/- kwa ajili ya wahanga wa mafuriko ya Kilosa katika hafla fupi iliyofanyika kwenye kambi ya Kilosa town jana. Kulia ni Meneja wa CRDB Tawi la Morogoro, Pendo Assey.
Posted by MROKI On Wednesday, January 13, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo