Nafasi Ya Matangazo

January 05, 2010

Moja ya ajali za mwaka huu zinazoziusisha daladala jijini Dar es Salaam. Pichanani ni askari wa usalama barabarani wakianglia dalalada likitolewa baada ya kuparamia kuta za barabara ya mandela eneo la River Side wakati likikwepa Roli la Kamopuni ya Bia lililokuwa likigeuza ghafla. Abiria wawili walijeruhiwa kidogo.
Posted by MROKI On Tuesday, January 05, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo