Nafasi Ya Matangazo

December 16, 2009

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume,akiushika waya wa Umeme unaotokea Tanga uliopita chini ya bahari na kupandishwa jana,katika ufukwe wa Mkumbuu kisiwani Pemba,kazi hiyo inafanya kwa kutumia Meli maalum ya kampuni ya Nexans Skagerrak ya Norway. Mafundi wa Kampuni ya meli maalum inayoshuhulika na kazi za ulazaji waya wa Umeme,(NEXANS SKAGERRAK)ya nchini Norway,kutoka tanga hadi Pemba wakishirikiana na mafundi wa Umeme wa shirika la umeme Pemba,katika harakati za kuhakikisha waya huo unapandishwa katika sehemu iliyokubalika katika Pwani Mkumbuu Pemba.
Posted by MROKI On Wednesday, December 16, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo