Nafasi Ya Matangazo

November 04, 2009

Spika wa Bunge, Samuel Sitta (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa(TAKUKURU) Dk. Edward Hoseah walipokutana Novemba 3 2009 Bungeni mjini Dodoma. TAKUKURU imejikuta ikiwa katika malumbano na BUNGE kufuatia hatua yake ya kuwahoji wabunge kutokana na madai ya kupokea posho mara mbili kutokana na kazi wazifanyazo wawapo katika utekelezaji wa majukumu yao ya kamati za Bunge.
Posted by MROKI On Wednesday, November 04, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo