Nafasi Ya Matangazo

November 04, 2009

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa aliyekuwa mbunge wa Ruangwa CCM marehemu Sigfrid Ng'itu wakati Rais Kikwete alipokwenda nyumbani kwa marehemu Mbezi beach Dar es Salaam kuifariji familia yake.Marehemu Ng'itu alifariki usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya taifa Muhimbili alikokuwa amelazwa tangu Septemba 15 mwaka huu akisumbuliwa na ugonjwa wa kiharusi.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Bi.Prisca Ng'itu mke wa Marehemu Sigfrid Ng'itu aliyekuwa Mbunge wa CCM Ruangwa wakati Rais Kikwete alipokwenda kuifariji familia ya Marehem huko mbezi beach,jijini Dar es Salaam jana jioni.
Posted by MROKI On Wednesday, November 04, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo