Nafasi Ya Matangazo

September 19, 2024


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Ndugu Baraka Ildephonce Leonard kuwa Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye hafla fupi ya Uapisho iliyofanyika Ikulu, Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Septemba, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Ndugu Nenelwa Joyce Mwihambi kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye hafla fupi ya Uapisho iliyofanyika Ikulu, Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Septemba, 2024.

Viongozi mbalimbali wakila kiapo cha uadilifu kwa Viongozi wa Umma kwenye hafla fupi ya Uapisho iliyofanyika Ikulu, Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Septemba, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza mara baada ya kuwaapisha Ndugu Nenelwa Joyce Mwihambi kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania na Ndugu Baraka Ildephonce Leonard kuwa Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye hafla fupi ya Uapisho iliyofanyika Ikulu, Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Septemba, 2024




Posted by MROKI On Thursday, September 19, 2024 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo