Nafasi Ya Matangazo

November 03, 2009

Mwanamuziki wa bendi ya FM Academia Jose Mara na mkewe Monica a.k.a Mama Junior wakiwa wamejishika kiuno wakitafakari namna ya kukata keki ya hiyo ya kuadhimisha tarehe ya kuzaliwa Jose mMara.
Burudani ilitolewa na FM Academia na mtoto mwenyewe kwa kucheza sebene
zawadi za mtoto zilitolewa ...
Picha ya pamoja kwaajili ya kumbukumbu kwa waalikwa wote nayo ikapigwa, hii ilikuwa ndani ya ukumbi wa New Africa Hotel katikati ya jiji la Dar es Salaam Novemba 2 2009.
Posted by MROKI On Tuesday, November 03, 2009 1 comment

1 comment:

  1. Happy birthday jose Mara.. Mmmependeza na wife sana. Mimi nampenda huyu kaka anavoimba jamani. Wimbo wake wa Chozi la Yatima umebamba sana. FAN NO 1

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo