Nafasi Ya Matangazo

November 12, 2009

Khatib akutana na Balozi wa NorwayWaziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Mhe Muhammed Seif Khatibu akisalimiana na Balozi wa Norway Nchini Tanzania Bw Jon Lomoy alipomtembelea Leo Ofisini Kwake Mtaa wa Luthuli Mjini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Mheshimiwa Muhammed Seif Khatibu akizungumza na Balozi wa Norway Nchini Tanzania Bw Jon Lomoy alipomtemelea Ofisini kwake Mtaa wa Luthuli jijini Dar esSalaam leo.
Posted by MROKI On Thursday, November 12, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo