Nafasi Ya Matangazo

November 11, 2009

Ilumminata aenda China kuwania taji la Miss InternationalMiss Universe Tanzania 2009, Illuminata James, mshindi wa akiwa uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julis Nyerere Dar es Salaam jana akienda nchini China kushiriki mashindano ya Mrembo wa Kimataifa yatakayofanyika mwishoni mwa mwezi huu katika mji wa Chengdu.
Illuminata akipozi kwa picha uwanjani hapo.
Posted by MROKI On Wednesday, November 11, 2009 1 comment

1 comment:

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo